Huu ni ukurasa unaodhamiria kuendeleza idara ya ufugaji nyuki Tanzania kwa kutoa habari mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ufugaji nyuki Tanzania na duniani kwa ujumla.
Nia yetu ni kuhakikisha unapata bidhaa safi na bora kwa kuzingatia viwango vya utayarishaji wa vyakula nchini. Pata ASALI YA NYUKI WASIOUMA kutoka kwetu kwa ujazo na bei kulingana na uwezo wa mlaji
No comments:
Post a Comment