Thursday, August 18, 2016

Nyuki Mkombozi Co imekuletea mwonekano mpya wa usindikaji na ufungashaji wa ASALI MBICHI kutoka katika misitu ya hifadh ya miti ya ASILI Sikonge Tabora. Tunapokea order ya jumla na reja reja kwa wenye maduka madogo na makubwa. Wasiliana nasi kwa 0787 721 965 au 0752 155 830. Kwa Dar es Salaam duka letu lipo Sinza E mtaa wa Mamba teremka kituo cha White Inn au Kumekucha simu namba 0754 592 212 au 0756 550 000. Tumia ASALI HALISI ya Tanzania kutoka Nyuki Mkombozi Co. kupitia bidhaa yake bora ya FAHARI SWEET HONEY


3 comments:

  1. Samahani ndugu mi nauza asali mbichi na pure maana naitoa shambani mwenyewe na nakuletea mpaka hapo Dar mi nipo Tabora sm no 0762647952 nauza asali dumu la Lita 20 kwa tsh 100000

    ReplyDelete
  2. Samahani ndugu mi nauza asali mbichi na pure maana naitoa shambani mwenyewe na nakuletea mpaka hapo Dar mi nipo Tabora sm no 0762647952 nauza asali dumu la Lita 20 kwa tsh 100000

    ReplyDelete
  3. Waooo, vip kuuzia wewe bidhaa hii ya asali jumla jumla ,na pia naomba kuwa wakala wako kukukusanyia asali nzuri nipo katavi

    ReplyDelete