Wasiliana nasi

Kwa maelezo zaidi, tembelea ofisi zetu zilizopo
Mkoani Dodoma na Tabora.
au wasiliana nasi kwa:-

Bwana Chimwaga Job,
Kitengo cha Ubora na Masoko,
Tabora-Tanzania
Simu ya mkononi: +255 (0)787 721 965
                                +255 (0) 752 155 830
                                e.mail:jobchimwaga@yahoo.com
       


Mr Segunda Lesilwa,
Beekeeping Field Operator,
Dodoma-Tanzania
Simu ya mkononi: +255 (0) 762-630050
                               +255 (0) 787-532281
           e.mail:slesilwa@yahoo.com
           beekeepingtanzania@gmail.com

Blog:nyukitz.blogspot.com

16 comments:

  1. habari segunda, natamani kujua detail zaidi za ufugaji nyuki.
    nipo dar es salaam natazamia kuanza ufugaji wa nyuki 2013.
    naomba nikutane na wewe nijue habari zaidi na kujua nini cha msingi natakiwa kujua kabla ya kuanza kufuga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaweza kukutana na mimi kwenye kampuni ambayo kwa sasa nafanya kazi iliyopo mkabala na Ubungo Plaza katika jengo la EPZ siku za kazi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.Jitahidi kufanya mapema kabla ya mwezi wa tatu kwani nitakuwa na kazi za field Tabora.Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba za simu yangu zilizopo kwenye blog hii.

      Delete
  2. Nimependa website hii. naweza kupata kijitabu cha maelezo haya yalio hapa.

    ReplyDelete
  3. Kijitabu kwa sasa kipo ila bado hakijasambaa Tanzania nzima, kinapatikana baadhi ya mikoa kama Vile Dodoma, Tabora na Singida.

    ReplyDelete
  4. mimi na asali yangu naomba unisaidie kutafuta masoko

    ReplyDelete
  5. hello nna asali naomba nikuuzie au unsaidie kutafta masoka plz

    ReplyDelete
  6. Nahitaji mashine ya kukamua asali. nitapataje kwani nimetafuta manyara na singida sijapata. Hata sasa niko Singida kwa kutafuta hiyo tu. mimi naishi Yaeda chini, wilayani mbulu mkoani Manyara.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inategemea na aina gani ya mashine unayohitaji maana hata ofisi za sido zinauza baadhi ya mashine hizo lakini pia tunaweza kukusaidia kuagiza aina ya mashine kama utaiweka bayana

      Delete
  7. Swali langu ni kwamba je...ni muda upi sahihi wa kuweka mizinga ya nyuki porini? yaani ni mwezi wa ngapi.

    ReplyDelete
  8. Natafuta ajira ya nyuki 0757980872

    ReplyDelete
  9. Habari za leo Mr. Segunda, nahitaji plastic containers za kilo moja, nusu robo na hata gram 50 na 25 kama unazo au unisaidie kuzipata.

    ReplyDelete
  10. Hbr Ndg, Mimi nipo Dsm. Nahitaji kufuga nyuki, naweza kupata utaratibu wa vibari na maeneo ya ufugaji toka TFS? Asante

    ReplyDelete
  11. Habari blog hii inawezaje kuwasaidia vijana kupata elimu ya ufugaji nyuki na kupata asali?

    ReplyDelete
  12. Habari,
    Naomba kujua bei za mashine za kuchujia asali na bei za mashine za kukamlia asali zinazo tengenezwa na SIDO

    ReplyDelete
  13. Habari .je kunajia yoyote ya kuwavutia nyuki aingie kwenye mzinga

    ReplyDelete